Search results

  1. Just David

    Neymar Jr Amtolea Mbavuni Richarlson

    Neymar ameripotiwa kumtumia Richarlison €30,000 (£26,000) na kumwambia aondoe uso wake mgongoni baada ya nyota huyo wa Tottenham kujichora tattoo ya Mbrazil Mwenzake. Richarlison alikuwa kivutio kikubwa kwa Brazil kwenye Kombe la Dunia na tangu wakati huo ameashiria safari yake ya Qatar kwa...