Katika ushambuliaje inapata nafasi nyingi sana lakini umaliziaje wake si mzuri kutoka kwa Mukwala na Valentino mashaka ni bora kocha faldu angejaribu kuanza na Freddy Michael pai angejaribu kumaliza mechi nzima akiwa na debora na okojepha hawa wachezaji wanaoneshq kua wanawez kukupa kitu...