Mimi nafikili kwanza yuko sawa na nimpongeze kwa Hoja Nzuri Za kimichezo lakin kabla hatujalaumu uwepo wa wachezaji wa kigen lazima nchi Kama nchi iwe na mikakati ya muda mrefu na mfupi Kama ifuatavyo
01: Mfano ukiangalia kikosi cha timu ya taifa hakieleweki Mara Leo kaitwa uyu Mara kesho...
kwanu mimi naona ligi yetu itakuwa nzuri cha msingi marefa waache kubalance mchezo kabisa penye kadi toa kadi penye penalti toa penalti. maana naona mtandaoni mjadala mkubwa ni penalti na offside zile mbili lakin kiukubwa ligi yetu itakuwa tamu san