Search results

  1. D

    FULL TIME NGAO YA JAMII 2024: Yanga SC 1 Simba SC 0 Tathmini Yako Ikoje?

    mchezo ulikuwa mzuri na ulikuwa na ushindani mzuri ila kwa tasmini zangu simba iko vizuri sema baadhi ya makosa madogo madogo na ukilinganisha na uzoefu wa derby aswaa hii ya k.koo kwa hiyo siwezi kuilaumu simba make me nishabiki lakini timu bado inajitengeneza na tunategemea changamoto nyingi...