Search results

  1. M

    Kindege (Aviator) Kilivyosepa Na Milioni 7 Ya Mtaji Najihisi Kufa

    Kilochobaki kwa aliyekata tamaa ni kifo na kujitoa uhai ni dhambi kwa MUNGU mrudie muumba wako naye atakurudia always God hutoa nafasi ya pili endapo upo tayar kuanza upya usisahau wew sio wa kwanza kupoteza wapo wengi sana kam wew walopotez Zaid yako ila MUNGU akawap nafasi ya pili leo...