Kiukweli hii ndio Simba halisi ile ya Yanga ilikuwa simba ya kukamia team kubwa ndiomana uliona walijitutumua kiukweli simba bado sana tusidanganyane wanakosa muunganiko wa kuanzia namba 6 kwenda mbele kwa Mukwala bora liende tu hakuna mipango yyte ndiomana mukwala anaonekana mzurulaji hta uyo...