KIKOSI cha Simba, jana (Jumapili) kilikuwa kwenye mwendelezo wa maandalizi yake ya kimataifa kwa kucheza mechi ya kirafiki ya pili dhidi ya Al Hilal Omdurman ya Sudan, kwenye Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam, ukiwa mchezo wa pili wa kirafiki tangu Dimitar Pantev akabidhiwe timu hiyo...