Search results

  1. L

    Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?

    Mimi nashauri tumpate forward mwenye asili ya ufungaji kama alivyokuwa asili ya mayele hapo tutafanikiwa tukipata winga Tena wakigeni mwenye kasi kama muthale tutafikia malengo pia tumuache ayoub, Ngoma, Fred,pamoja na onana hapo tukiwasajili wabadala wahao hakika tutafanikiwa Mimi ninaimani na...