Barcelona walianza vizuri sana kabla ya pedri kuumia kipindi cha kwanza,kivipi?
Kwenye karatasi wameningia na 4-3-3,lakini wakati wanafanya build up nyuma wanabaki mabeki watatu(Kounde,Araujo na Alonso) wakati mbele yao kuna kuwa na Kessie na DeJong mbele tena kuna namba kumi wawili Pedri na...