Search results

  1. T

    Gerson Msigwa Njoo Utujibu Watanzania Ile Wi-Fi Ya Bure Uwanja Wa Mkapa Mlikua Serious Au Porojo Za Kisiasa?

    Kama wameshindwa wawaamrishe kampuni binafsi kufunga minara yao pale uwanjani watu tunakua uwanjan tupo kama jela voda tigo akuna network unapata dharula nyumbani unashindwa kutoa msaada kisa hupatikani kwan ss watu weus tumelogwa