Search results

  1. J

    Kipi Kinakwamisha Simba Na Yanga Kutokua Na Uwanja Kama Huu?

    Shida sio timu shida ni investment,timu za yanga na simba hazina permanent investors kama ilivyo kwa azam fc.pia sio timu zinazomilikiwa na taasisi za kiserikali.kwaiy inamlazimu mwekezaji atoe ela ya mfukoni ili kujenga uwanja na sio mapato ya timu.mara nyingi viwanja vinavyojengwa na taasis za...