Search results

  1. K

    Ningekuwa Kwenye Benchi La Ufundi La Klabu Ya Simba SC Ningependekeza Kikosi Hiki

    Na swala lakumuweka kapombe winga hapana bola kibu
  2. K

    Ningekuwa Kwenye Benchi La Ufundi La Klabu Ya Simba SC Ningependekeza Kikosi Hiki

    Haiwezakani ahoua kuanzia nje Ile ni namba 10 inayojua tena Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa embu angalieni hata marudio sema muda mwingine ni maelekez ya kocha ana waambia wachezaji kuwa Leo anataka kushinda au sare maana yake lazima atumie mfumo wa kujilinda lakini akisema hataki sare wala kufungwa...
  3. K

    Ningekuwa Kwenye Benchi La Ufundi La Klabu Ya Simba SC Ningependekeza Kikosi Hiki

    Na Napenda sanaaa watumie 4:3:3 kwa sababu sie hiyo mechi tunahitaji ushindi alafu wale wanajua mpira sio wa kuweka straika mmoja et awasumbue mabeki wale huo ni uongo ulio dhahir maana inatakiwa tujue al ahli tripoli ya zamani sio ya sasa hivi ya sasa hivi ina wachezaji wazuri sio wa kuwawekea...
  4. K

    Ningekuwa Kwenye Benchi La Ufundi La Klabu Ya Simba SC Ningependekeza Kikosi Hiki

    S Sikubaliani nae hata kidogo ahoua ni mchezaji mzuri Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa ispokuwa inategemeana na mechi SI Kila mechi utamuona kama unavyotaka kwa sababu yeye anafuata maelekez ya mwalim au umemsikia mwalim anasema ahoua hafati maelekez???? Ispokuwa nakuunga mkono kwenye double straika tu