Search results

  1. A

    FT : Tanzania 0 Ethiopia 0 | Mna Lipi La Kuzungumza WAZALENDO 😅

    Wamejitahidi sana siku ya Leo,hope next time watafanya kitu Bora zaidi ya walichokifanya Leo.... Kikubwa wajiamini na wawe na utulivu wa akili na miguu uwanjani,wawe na maamuzi na matumizi sahihi ya nafasi zinazopatikana....