Search results

  1. X

    FT : CBE SA 0 Yanga SC 1 | Wananchi Wa Kijiweni Mmeuonaje Mchezo Wa Leo? Nani Katisha Zaidi?

    Hapo sasa ndo club bingwa imeanza Acha akina vital O wa kuwafadhiri Hadi chai kama unashinda moja group stage pataongea sema sio kisa la yanga walifocus na kagoma ndo maana ushindi ni mwembamba ungezeni juhudi
  2. X

    FT : Simba SC 4 Fountain Gate FC 0 | Mna Lipi La Kusema Wekundu Wa Kijiweni?

    here we go ubaya ubwela nguvu moya simba inakilakitu sasa wachezaji wapo na hali nzuri jezi no 17 ipo kwa mtu sahihi jean kweli ni MVP goli la kideo huyu awesu na barua ni watu kagoma anaonyesha kile nyuma mwiko wanakitaka zimbwe nilimuona no 2 kapombe 6 huyo fondo na hamza kamara hajapata on...