Search results

  1. elly_sirkeys

    FT : Simba SC 1 Al HILAL 1 : Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    Matokeo nimeyapokea vizuri, piah kuhusu timu ipo vizuri imecheza mpira vizuri, kikubwa tu waendelee kujitahd katika kutengeneza nafasi na kuzitumia maana ndizo za kukufanya ushinde.