Search results

  1. G

    Eti Wana Kijiweni Kwanini Ni Simba vs Yanga Na Sio Yanga vs Simba

    Hii ni kutokana na Kumalizia uzuri sababu mala nyingi tunaanza simba sababu vitu vya kuponda ni vingi kisha tunamalizia yanga Kwa kuonesha suluhisho la mapondo hayo jambo jingine tunaangalia alphabet Kati ya S na Y ipi inaanza
  2. G

    FULL TIME : GUINEA 1 TANZANIA 2 | Leo Mna Lipi La Kuzungumza WAZALENDO?

    Tanzania tupewe maua yetu Kwa kupindua meza kibabe
  3. G

    Gharama Za Kutumia Uwanja Wa Uhuru Na Uwanja Wa Benjamin Mkapa

    Kwa hapo ni sahihi japo kuna sehemu bei ipo chini sina uwakika nahisi ni kutokana na kipato cha watanzania
  4. G

    Gharama za Kutumia Uwanja Wa KMC COMPLEX

    Naona kuna kitu hakipo Sawa ujue kutumia shughuli zingine tofauti na mechi ni rahisi kuharibu uwanja hivo gharama zitafidiwa wapi japo Kwa mechi ni sahihi