Search results

  1. S

    Kujiondoa Kwa AZAM TV Kwenye Kuonesha Mchezo Wa NGUMI Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    Mimi bi Mimi binafsi serikali ingilie kati hili swala,mchezo huu wangumi ulileta ajira kwavija kiasi kwamba mabondia watanzania,waliiperusha bendera ya taifa,Azam tv media waombwe kuendelea kurusha mchezo wa ngumi,ila aingie mkataba namabondia wote Tanzania,kwakipengele maalumu,ili mabondia...
  2. S

    Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo Kwenye Viwanja Kama Hivi Likakuacha Hoi?

    Daaaa kitambo iyo,nakumbuka mbungi ilipigwa,Sasa kuna mchezaji alimchezea mwenzake vibaya,daaaa mbona mbungi likageuka ulingo wa ngumi
  3. S

    FT : AL Ahli Tripoli 0 Simba SC 0 | Mchezaji Gani Amekukosha Leo?

    Alhamdullilah nikambi lakumshukuru mungu,suluhu kwetu nimatumaini Kocha kausoma mchezo,alekebishe mapungufu yalio onekana kwenye mchezo wa Leo,