Search results

  1. D

    Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo Kwenye Viwanja Kama Hivi Likakuacha Hoi?

    Jamaa waliingia uwanjani na njiwa wawili kabla ya mechi kuanza mganga wao aliwambia wawapeperushe hao njiwa wakiwa ktkat ya dimba kabla hawajafanya jambo lao wapinzani wao wakawawai wakawawai wakawakanyaga kanyaga njiwa uwanja wote ukazagaa manyoya na walikula chuma mbili kwa sifuri
  2. D

    Ningekuwa Kwenye Benchi La Ufundi La Klabu Ya Simba SC Ningependekeza Kikosi Hiki

    Tunawaombea mtoke kwenyd mashindano ili muache lomoni