Search results

  1. M

    Ningekuwa Kwenye Benchi La Ufundi La Klabu Ya Simba SC Ningependekeza Kikosi Hiki

    Mi nakuunga mkono, mi sikuona shida yoyote kwa Ahoua na, Mutale kwa Sababu mchezo ulikuwa ni wa kimbinu zaidi ukiwa na lengo kuu la kutokuruhusu goal ugenini, na Fadlu ameliweza Hilo 100% lakini pia ulikuwa na lengo dogo la Kupata goal la ugenini ndiyo maana aliingizwa Ahoua Mutale ATEBA na...