Offside inavosemekana ilianzia pale mapema sana kabla mpira haujapigwa nyuma alafu ndo ukapigwa mrefu kwa ateba nadhani alikua ahoua yule alitoka nje akarud ndani akaipiga ile pasi nyuma alafu ndo ikapigwa kwa ateba ukirudia move ya nyuma kabla ile ya goli utaona afu kibendera alinyoosha...