Search results

  1. D

    Ujana

    Mimi napapenda sana humu kijiweni huwa napata burudani na machapisho ya admin. Tupo kijiweni
  2. D

    Jambo Gani Katika Kauli Za Rais Wa Heshima Na Mwekezaji Wa Simba Unatamani Litekelezwe Haraka Zaidi?

    Mimi ni mwananchi nawatakia mafanikio makolo ktk kile wanachokiamini, kwenye mashindano lazima kuwepo na mshindi.
  3. D

    FT : Simba SC 2 Coastal Union 2 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    Mimi kama mwanakijiweni na mshabiki wa yanga nawapa pole makolo wakajipange kwaajili ya tare 19
  4. D

    Umeipokeaje Kauli Hii Ya Rais Wa TFF Kuhusu Kutokutumika Kwa VAR Msimu Huu?

    Mimi namuunga mkono kwakua nikweli hatuwez kuweka VAR Kwenye viwanja vyote, ila wawazingatie marefa kwasasa hasa yule wa gem ya jana ya mtani
  5. D

    Wapenzi wa soka tujifunze kuheshimu juhudi na uwekezaji wa vilabu vidogo, sasa hivi NBCPL sio lelemama. Muwe na adabu

    Nikweli kabisa iyo ikowazi mimi ni shabiki wa yanga daima ila kusema kwl msimu hu wa moto atari jana tumepata ushindi kwa bht sana walikua wanatushambulia kwa mpango na kdg tungepoteza mchezo au droo simba nae ameanza vzr ila nae jana amekoswa ni bht tu kwakua nimkubwa ila kwaile penati kuna kanamna
  6. D

    UTABIRI Wangu AZAM FC vs SIMBA SC Leo Ni Huu Hapa

    Mchezo utakua mkali ila mm ni mwananchi, ktk hi vita ya point 3 naona azam anakufa goli mbili