Search results

  1. deen sam

    Ukipata Nafasi Ya Kumshauri Mshambuliaji Wa Klabu Ya Yanga Prince Dube Utamwambia Nini?

    Aendelee kupambana asikate tamaa coz sio peke yake anae struggle kufunga
  2. deen sam

    Njia iliyobaki ya Simba kuchukua ubingwa wa NBC 2024-25 ni hii hapa

    Shida inakujaga wanatumiaga energy kubwa sana wanapocheza na yanga hivyo mechi zinazofuataga huwaga ngumu kupata matokeo sio kwa simba wala hivyo vilabu vingine mara nyingi sana huwa hawapati matokeo mazuri baada yankucheza na yanga Kwahiyo leo mmmh ngoja tuone itakavyokua
  3. deen sam

    Naamini Kuwa Kauli Hii Ya Kocha Patrick Aussems Bado Inawatafuna Simba Mdogomdogo Tu

    Kwa mtu ambae ni mpenz wa mpira atamuelewa jamaa ila kama wew ni shabiki wa shabiki wa mpira utaona kama jamaa ni mwananchi kwahiyo katumwa
  4. deen sam