Search results

  1. only me

    Naamini Kuwa Kauli Hii Ya Kocha Patrick Aussems Bado Inawatafuna Simba Mdogomdogo Tu

    Jamaaa huna akili ya kiFUTIBOLI kabisa Yan.......ushabaki tu umekujaa.....ukiangalia point iliyitolewa hapo juu na mwamba aliye iQUOTE kauli ya aussems haihusu Simba pekee ni klabu yoyote Ile inayotaka mafanikio lazima ipige Vita viongoz waongo waongo