😂😂😂😂 Upo nafsi ya ngapi?. Yanga NI timu ya mwanzo dunian kufungwa ukiwa na furaha 😂😂, utawezaje sas kumcheka tajiri ambae anamiliki mjengo WA horofa ety sababu t bofali moja la nyumba yake limetoka 😂😂, ukifurahi kufungwa Kwa yanga nakuomba usikumbukie kuwa Yanga alikufanya nini hko nyuma kwasbb...