Kuna wakati tulikuwa tunajua kabisa akija mkubwa anakufa hata kwa mbinde mfano Al Ahly, Wydad na wengineo, tena ikija timu ya kiwango cha kati mnaipigia hesabu itakufa kwa magoli mangapi, lakini Simba ya leo unakaa unawaza hivi tutapata hata bao moja kweli?, tumekuwa timu ya homa za kupanda na...