Hakika bado nipo na imani nayo kuogopa kushindwa ndo kushindwa kwenyewe mimi bado naiamini timu yangu na viungo vyote naamini ipo siku tutarejea katika mfumo wote pia tunajifunza kupitia makosa ameen wananchi tusiikatie tamaa timu yetu bali tuzidi kuwatia moyo viungo wetu waongeze jitihada zaidi...