Mwenda anaskills nzuri kama mlinzi endapo atakuwa na displine kwa upande wangu sio suluhisho la kudumu lakini anauwezo wa kuongeza kitu kwenye safi ya ulinzi wa yanga kipindi hiki ambacho tuna uhitaji sana ila uongozi unatakiwa kuwa makini na sajili wanazofanya otherwise tutaangukia pua
# Daima...