Search results

  1. M

    FT : Simba SC 2 CS Sfaxien 1 | Umeuonaje Mchezo Mwana Kijiweni?

    Mungu tu kudra zake ndio zinazibeba timu za TANZANIA kwa mwaka huu hususan katika michuano ya kimataifa
  2. M

    FT : Simba SC 2 CS Sfaxien 1 | Umeuonaje Mchezo Mwana Kijiweni?

    Katika uhalisia wa football mwaka huu michuano ya kimataifa timu zote mbili tunakwenda ki mungu mungu tu nahisi ni Ile namna ya kujiamini sana kupitiliza kiasi ndio kinachotuumiza