Search results

  1. M

    Muda wa Che Malone kukaa bench umefika

    Sioni sababu ya Chemalon kumsema vibaya leo nadhani ni makosa ya kawaida kwenye mchezo wa mpira,tusimtoe mchezoni wala kumkatisha tamaa,tumtie moyo hatuna mchezaj bora kama yeye kwenye eneo analocheza yeye.