Tuna shida kubwa kwenye marefa wa mpira huu wa miguu hapa Tanzania 🇹🇿 kwanini msiache team hizi zishinde kwa mchezo wao wenyewe uwe mzuri ama ni wa hovyo ila, msiwa tafutie matokeo sijui tuna shindwa wapi kuweka mahaba ya team fulani pembeni na kuchezesha mpira kamili bila kupendelea yan...