Search results

  1. L

    Chama Atamfukuzisha Kazi Gamondi Yanga

    😂😂hapo bado ligi haijaanza,,ikianza utaona wendawazimu zaidi Yanga amekuja kupigania namba siyo kule alikokuwa anaombwa kucheza,,huku ni kwingne jombi,,asipopambana anawekwa benchi Ataondoka yeye siyo Miguel Gamond,,mr Papaa
  2. L

    Kufuzu Kwa Yanga Robo Fainali Ashukuriwe MO DEWJI?

    Ni sahihi kwasababu mara zote ukitaka kufanikiwa lazima awepo anaekupa changamoto Kama hupati changamoto yeyote maana yake pia huna lolote unalofanya Kauli ile ya Mo Dewji ilikuwa kwajili ya kuwatia moyo wananchi kwamba mapambano hayajaisha Ila wakati ambao Ahmed Ally anakuja kuongea amechelewa...