La Morte Ni Neno La Kitaaliano Limebeba Ujumbe Wa Kifo na Hivi ndio tunaweza Kusema Kwa Sasa juu ya timu hii Chievo Verona na kwa jina lao Maarufu hua tunafahamu kama wa “wakombozi wa ngambo" ila Kwa Sasa sio wakombozi Tena Bali wao ndio wanaohitaji Ukombozi.
Verona ni Moja ya Timu za Kawaida zilizodumu Kwa Kipindi kirefu bila kushuka Daraja pale ligi Kuu ya Italia Kabla ya mwaka 2019 kushuka Rasmi huku mlipuko wa COVID-19 ukawa Msumari wa Mwisho Kabisa Katika jeneza lao Baada yakufilisika Kutokana na madeni Mengi Waliokuwa wanadaiwa walishindwa kujiendesha licha ya Kumaliza Nafasi ya 8 Katika timu 20 za ligi Daraja la pili (serie B) walishushwa Mpaka Ligi Daraja la 4 (serie D).
July 13 Wakiwa Bado hawajasajiliwa Kuanza kushiriki ligi Daraja la 4 legend na Nahodha wao Wa Zaman Sergio pellissier alijitahidi Kutafuta mfadhili Kwa Ajili Ya kuinusuru timu hio ila Mpaka Siku ya Mwisho ya Usajili alifeli alijaribu pia kutumia Njia ya Kuipa timu nyingin iliopo Katika ligi Daraja la 4 itumie jina la Chievo Verona Ili timu hii isifutike Kitaalam huitwa (phoenix club) ntakuja kuelezea Maana yake ila pia ilishindikana na Rasmi wakaondoshwa na walipaswa Kwenda kushiriki ligi za Chini Ambazo ni amateur sio professional na ndio ukawa Mwisho Wa Chievo Verona.
FC clivense hii ilikua ligi za Chini Zaidi Italia msimu huu imepanda Daraja la 5 Hawa ndio wabadala wa Chievo Verona na kama wakifika Madaraja ya juu watarudi Katika jina lao.
Sergio pellissier anasema July 13 Ile siku ya Mwisho ya Usajili ndio siku ngumu ya kuumiza Katika Maisha Yake,jamaa alipambana Sana.
NB;kuwekeza Katika timu sio jambo la Mchezo waheshimiwe watu wanaoweka pesa zao uko.
Bella ciao Chievo Verona