𝐉𝐢𝐧𝐬𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐛𝐢𝐚𝐬𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐲𝐚 𝐍𝐅𝐓𝐬 𝐁𝐮𝐫𝐞 𝐤𝐚𝐛𝐢𝐬𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐁𝐚𝐝𝐨 𝐡𝐮𝐧𝐚 𝐦𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐬𝐡𝐚.

mhindi

Mgeni
Nov 29, 2021
17
6
5
Tanzania
Kutokana na kwamba biashara ya NFTs kuwa Haina matangazo kwenye platform nyingi zaidi ya Twitter. Na wala sikushauri kununua NFTs project
ya Haina yoyote kama haina Twitter account kwa sababu they can't advertising on different platform so Twitter is the social heaven for this NFTs Projects. Kupata link Hizi za NFTs collection ndani ya Twitter is very trick and can waste your time of searching, so
interaction na links zote za project husika kama website, discord, na Twitter account, tarehe za uzinduzi na idadi ya NFTs, pia rarity inatoa rank ya project tofauti kuanzia, daily volume, seven days volume, floor price na roadmap.

𝐒𝐚𝐬𝐚 𝐔𝐧𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚𝐣𝐞 𝐤𝐮𝐦𝐢𝐥𝐢𝐤𝐢 𝐍𝐅𝐓 𝐲𝐚 𝐁𝐮𝐫𝐞
Project nyingi za NFTs huwa Zinatenga baadhi ya NFTs katika collection zao kwa ajili ya kuzitoa kama giving back to the community zinaitwa #giveaway
So unachotakiwa kufanya ni kufollow account za project tofauti tofauti ndani ya Twitter usisahau ku turn your notification ili usipitwe na Hizi #giveaway when it happens. Jiunge na discord account za Hizi project maana huko ndo kuna taarifa sahihi za utowaji wa Hizi NFTs
mfano Pepsi ilikuja na project inaiitwa MiC DROP ilianza na kutoa NFTs zao Bure kabisa na leo Zina thamani kubwa floor price ya Pepsi MiC Drop NFT ni 0.53 ETH (4,778,265.00 TSHS) huko opensea na zitapanda zaidi ya hapo, kama ukiwa serious unaweza toboa kabisa kwa Njia hii ya Image
Links za discord na Twitter za Hizo project unazitoa kwenye rarity.tools.

Remember Perfectionism kills more than Failure so uhitaji kuwa perfect kuanza biashara hii NTFS you can start even now with above tips.
Asante 🙏🙏🙏

Source: Twitter | @nftsknowledge