𝐉𝐢𝐧𝐬𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐛𝐢𝐚𝐬𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐲𝐚 𝐍𝐅𝐓𝐬.

mhindi

Mgeni
Nov 29, 2021
17
6
5
Tanzania
Uzi huu uliandikwa na Dollar Musk kwenye ukurasa wake wa twitter hapa > https://twitter.com/nftsknowledge

𝐉𝐢𝐧𝐬𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐛𝐢𝐚𝐬𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐲𝐚 𝐍𝐅𝐓𝐬. Kuna njia mbili za kufanya biashara hii, 1. Kuuza art za watu wengine (Flip for Profit) 2. Kuuza art za kwako mwenyewe (collection) Mwakani nikufanya kwa vitendo

𝐊𝐮𝐮𝐳𝐚 𝐚𝐫𝐭 𝐳𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 (𝐅𝐥𝐢𝐩 𝐟𝐨𝐫 𝐏𝐫𝐨𝐟𝐢𝐭) Maana yake ni kukusanya au kununua art (project) za watu wengine na kuziuza pale bei inapopanda kwa faida (flipping for profit) Ni kutengeneza nft zako mwenyewe ambazo utaziuza kwenye platform kama http://opensea.io. Utofauti kati ya njia hizo mbili ni kwamba unapouza nft za wengine risk kubwa inakuwa haipo kwako kwani kazi yako kubwa ni kutafuta NFTs project zenye community nzuri, engagement, and social interaction ambayo iko promising then you flip for profit mfano unaweza nunua art kwa Dola 100 na ukauza kwa Dola 300 ukawa umejitengenezea faida ya Dola 200 na hii process ni kama ya real estate ambapo unanunua nyumba au kiwanja kwa bei ya chini na baada ya muda kuuza kwa bei ya juu kwa faida. Watu wameipenda biashara hii kwa sababu (ROI) yake ni kubwa ndani ya mda mfupi, mfano project maarufu kama BAYC ( BORED APE YATCH CLUB) hii project ilianza mwezi wa Saba na mara ya kwanza watu wali mint NFTs zao kwa 0.08 ETH na mpaka sasa floor price ya BAYC ni 58.98 ETH per NFT. na Hizi crazy ( ROI) zimefanya watu wengi kuvutiwa na biashara hii.

𝐍𝐣𝐢𝐚 𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐍𝐅𝐓𝐬,

1. Floor price Ni wastani wa price ya Nft collection kwenye platform na huwa inakuwa setup kwa kuangalia vigezo tofauti tofauti na unapofanya hivi lengo lako sio kwa ajili ya kuflip kwa faida tu Bali ni ku hold for the long term run kulingana na umakini wa project husika.

2. Whitelist Ni process ya kuunga wallet yako ili iweze kuwa pre approved kwa ajili ya kunua nft before it launched (Njia hii ni very strick lakini ndio yenye faida maana huwa inamrahishia artist kuweza kujua project yake Ina awereness kiasi gani katika community pia huwa na gharama ndogo kulinganisha na kununua NFTs ambayo tayari iko http://opensea.io, na average kubwa ya minting price Ina range 0.08 ETH.

3. Minting Hii ni njia ambayo artist ananitumia kwa ajili ya kumonetize their project inakuwa inampa guarantee kwamba katika collection yangu Nina zaidi ya NFTs 40% mfano ambazo nategemea kuuza siku ya uzinduzi so inahusisha pamoja na kuconnect wallet yako unayotunzia coin kwa ajili ya manunuzi.

𝐓𝐨𝐨𝐥𝐬 𝐮𝐧𝐚𝐳𝐨𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐢𝐥𝐢 𝐤𝐮𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐛𝐢𝐚𝐬𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐡𝐢𝐢 𝐲𝐚 𝐍𝐅𝐓𝐬 𝐧𝐢 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐳𝐢𝐟𝐮𝐚𝐚𝐭𝐚𝐳𝐨.

1. Wallet Kama ilivyo katika maisha ya kila siku unahitaji wallet kutunza pesa zako basi na kwenye hii Dunia ya digital unahitaji wallet kwa ajili ya kupokea na kutuma hususani NFTs zako pamoja na coin zako kwa ujumla maana ndio chombo pekee ambacho pesa zako zitakaa humo kwa ajili ya manunuzi ya NFTs na hata baada ya mauzo ya NFTs faida utapokea kupitia wallet hiyo.

ANGALIZO. kama ilivyo katika mabenki na taasisi za kifedha ni makosa kushare namba yako ya Siri basi pia hata kwenye decentralized network ni marufuku kushare namba yako ya Siri pamoja na maneno yako Siri yanayoitwa (phrase) hususani ukiwa unatumia wallet ya http://metamask.io haya huwa yanakuwa generated na metamusk huwa ni phrase yenye maneno 12 lakini namba ya Siri huwa unatengeneza mwenyewe, http://metamask.io haya huwa yanakuwa generated na metamusk huwa ni phrase yenye maneno 12 husika ila namba ya Siri huwa unatengeneza mwenyewe, Iko hivi mtu akijua namba yako ya Siri ya wallet yako anaweza kukuibia pesa (coins) zako akipata device yako lakini mtu akijua phrase au maneno yako ya Siri uliopatiwa wakati unatengeneza wallet yako anaweza iba ownership ya account nzima maana hakuna namna ya kubadili Hizi phrase huwa zinatumiaka kama umepoteza device yako na unahitaji ku renew so sio vema hata kuzisave kwenye laptop au phone bora uzitunze manually kwa Njia ya karatasi.

2. http://Remitano.com Platform ya remitano huwa naitumia bianafsi kununua na kuuza coin zangu kwa sababu Ina agents wa Kitanzania na wanuza crypto currency kwa kupitia mfumi wa escrow, kwa kutumia local transaction kama Mpesa, Tigopesa na airtel. Sijawahi kununua coin zangu kwa Njia ya debit card japo inawezekana pia kama uta sign up Na kufanya KYC verification kwenye platform kama ya http://coinbase.com Nikisha nunua huwa naziamishia kwenye wallet ya metamask na zinginezo kwa ajili ya matumizi.

3. Ethereum (ETH) Ni sarafu ya kigitali ambayo huwa inatumika kupokea na kutoa pesa kama ilivyo Bitcoin (BTC). 1 ETH = 9.2M TSHS Many projects are being built on ETH coin than other coins. so ukiwa unafanya transaction make sure una select the right coin.

4. http://opensea.io Platform inayotumika mara nyingi ni http://opensia.io hili ni soko la kuuza na kununua NFTs zako, kwa hiyo ili kufanya transaction Hizi unatakiwa kuunga wallet yako metamask ili ufanye direct purchase kwenye project husika.

5. http://Rarity.Tools Ni Moja tools ambayo itakupunguzia mda kwa kujua projects zinazokuja, zilizopo nazilizo pita na kuzifanyia utafiti kama nilivyowaeleza kwenye Uzi wa kwanza.

6. http://Discord.com Discord ni app kama ilivyo whatsup au telegram hutumika mara zote na project za NFTs kwa ajili ya kutangaza project zao 101 so unaweza ipata kwenye play store na Apple pia.

7. DYOR Maana yake ni Do Your Own Research am not a financial advisor this is just a mentorship for education, kitu nakueleza hapo juu ni jinsi mimi binafsi navyoifanya biashara hii ya NFTs ni vizuri ukafanya na utafiti wako pia. kama unahitaji kuanza kuna project inakuja 19 january 2022 Inatwa HAPE BEAST hii project ina kila vigezo vya kukupa faida kubwa kama ilivyo BAYC na Crypto Punks na nitaielezea kwa undani ifikapo January ila kitu gharama ya minting ni 0.2 ETH per Nft. Nimeeleza aina ya kwanza ambayo ni kuuza art za watu wengine kwa faida (Flip for Profit), na Uzi unaokuja nitaelezea aina ya Pili jinsi yakutengeneza Collection yako binafsi. happy Holliday