𝐑𝐨𝐲 𝐊𝐞𝐚𝐧𝐞 kuhusu 𝐌𝐞𝐬𝐬𝐢

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
𝐑𝐨𝐲 𝐊𝐞𝐚𝐧𝐞 kuhusu 𝐌𝐞𝐬𝐬𝐢:

"Haijalishi ni nani atatwaa tuzo ya mfungaji bora kwenye Kombe la Dunia ila Messi akicheza fainali atatwaa tuzo ya mchezaji bora.Yeye ndiye mchezaji bora kwenye Kombe hili la Dunia.

"Angalia vikosi vya Ufaransa, Brazil, Ureno na England. Wamejaa wachezaji nyota. Hata kama Mbappe hatafunga Giroud atafunga. Hata kama Kane hatafunga, Saka atafunga. Brazil na Ureno wana wafungaji wengi."

"Wakati Argentina inapata shida ikiwa Messi atakabwa sana. Inaonyesha jinsi Messi ni muhimu kwa Argentina. Ukimuondoa Messi kutoka kwenye timu hii wasingeweza hata kufuzu Kombe hili la Dunia wakiwa nafasi ya kwanza."
c968df55-402c-4a00-aea9-ef2d7c67a150.jpeg