𝐕𝐚𝐧 𝐍𝐢𝐬𝐭𝐞𝐥𝐫𝐨𝐨𝐲 kumhusu 𝐆𝐚𝐤𝐩𝐨

Rashidi

Mgeni
Dec 13, 2022
56
40
5
𝐕𝐚𝐧 𝐍𝐢𝐬𝐭𝐞𝐥𝐫𝐨𝐨𝐲 kumhusu 𝐆𝐚𝐤𝐩𝐨:

"Ndoto yake ilikuwa kwenda Manchester United, alikuwa na mawasiliano na Ten Hag toka mwezi August.
Hata mimi pia nilitaka ajiunge na United, ni timu yangu na pia naipenda lakini pia ni bora zaidi ya Liverpool na inatoa nafasi zaidi kwa wachezaji wao.

Lakini United haikutoa pesa mwezi January kwa ajili yake.hivyo, nilimshauri asubiri mpaka majira ya joto, lakini mambo mengine yakatokea na akakataa ushauri wangu na kumsikiliza Van Dijk aliyemshauri ajiunge Liverpool.

Ukweli ni kwamba Liverpool ni ndogo mara kumi kwa Manchester United katika kila idara. Najiona mwenye bahati sana kuzichezea klabu bora mbili ulimwenguni, Manchester United na Real Madrid.

Mpaka sasa Gakpo angeshafunga mabao tayari kama angekuwa Manchester United kwa sababu wana viungo wakubwa wanaotengeneza nafasi kama Fernandes, Casemiro na hata Eriksen." 👀🔥

1675752336066.png