Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
𝐕𝐚𝐧 𝐍𝐢𝐬𝐭𝐞𝐥𝐫𝐨𝐨𝐲 kumhusu 𝐆𝐚𝐤𝐩𝐨
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

𝐕𝐚𝐧 𝐍𝐢𝐬𝐭𝐞𝐥𝐫𝐨𝐨𝐲 kumhusu 𝐆𝐚𝐤𝐩𝐨:

"Ndoto yake ilikuwa kwenda Manchester United, alikuwa na mawasiliano na Ten Hag toka mwezi August.

Hata mimi pia nilitaka ajiunge na United, ni timu yangu na pia naipenda lakini pia ni bora zaidi ya Liverpool na inatoa nafasi zaidi kwa wachezaji wao.

Lakini United haikutoa pesa mwezi January kwa ajili yake.hivyo, nilimshauri asubiri mpaka majira ya joto, lakini mambo mengine yakatokea na akakataa ushauri wangu na kumsikiliza Van Dijk aliyemshauri ajiunge Liverpool.

Ukweli ni kwamba Liverpool ni ndogo mara kumi kwa Manchester United katika kila idara. Najiona mwenye bahati sana kuzichezea klabu bora mbili ulimwenguni, Manchester United na Real Madrid.

Mpaka sasa Gakpo angeshafunga mabao tayari kama angekuwa Manchester United kwa sababu wana viungo wakubwa wanaotengeneza nafasi kama Fernandes, Casemiro na hata Eriksen."

[ATTACH=full]1156[/ATTACH]

[QUOTE="Rashidi, post: 3200, member: 568"] 𝐕𝐚𝐧 𝐍𝐢𝐬𝐭𝐞𝐥𝐫𝐨𝐨𝐲 kumhusu 𝐆𝐚𝐤𝐩𝐨: "Ndoto yake ilikuwa kwenda Manchester United, alikuwa na mawasiliano na Ten Hag toka mwezi August. Hata mimi pia nilitaka ajiunge na United, ni timu yangu na pia naipenda lakini pia ni bora zaidi ya Liverpool na inatoa nafasi zaidi kwa wachezaji wao. Lakini United haikutoa pesa mwezi January kwa ajili yake.hivyo, nilimshauri asubiri mpaka majira ya joto, lakini mambo mengine yakatokea na akakataa ushauri wangu na kumsikiliza Van Dijk aliyemshauri ajiunge Liverpool. Ukweli ni kwamba Liverpool ni ndogo mara kumi kwa Manchester United katika kila idara. Najiona mwenye bahati sana kuzichezea klabu bora mbili ulimwenguni, Manchester United na Real Madrid. Mpaka sasa Gakpo angeshafunga mabao tayari kama angekuwa Manchester United kwa sababu wana viungo wakubwa wanaotengeneza nafasi kama Fernandes, Casemiro na hata Eriksen." 👀🔥 [ATTACH type="full"]1156[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
𝐕𝐚𝐧 𝐍𝐢𝐬𝐭𝐞𝐥𝐫𝐨𝐨𝐲 kumhusu 𝐆𝐚𝐤𝐩𝐨
Top
Bottom