Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
Achana na ukaribu wa Morocco na Hispania ambao ni kilometa 16 tu
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Achana na Timu za Morocco kubeba mataji yote ya CAF Tournaments msimu uliopita (Wydad na Rs Berkane)

Achana na Morocco kumpasua Ubelgiji kwenye group stage ya Kombe la Dunia.

Achana na Kocha Walid Regragui alietoka kuchukua Kombe la CAF Champions League akiwa na Wydad Casablanca baada ya kumpasua Pitso Mosimane akiwa na Al Ahly mpaka kuwa Kocha pekee alieivusha timu kutoka Afrika kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia mwaka huu pale Qatar.

Achana na story za mama yake na Achraf Hakimi kufanya kazi za ndani nchini Hispania alikomzaa Achraf.

Njoo hapa....

Kati ya wachezaji 11 wa Timu ya Taifa ya Morocco walioanza kwenye Kikosi cha kwanza ni wachezaji 3 tu ndio WAMEZALIWA nchini Morocco.

Youssef En-Nesry,Azzedine Ounahi na Nayef Aguerd ndio wachezaji pekee waliozaliwa nchini Morocco.

Yassine Bounou - Canada

Achraf Hakimi - Hispania

Romain Saiss - Ufaransa

Noussair Mazraoui - Uholanzi

Sofyan Amrabat - Uholanzi

Selim Amallah - Ubelgiji

Hakim Ziyech - Uholanzi

Soufiane Boufal - Ufaransa.

Morocco wakiwa na kikosi hiki,mara ya mwisho kufungwa ndani ya dakika 90 ilikuwa mwaka October 15,2019 walipokufa 3-2 kutoka kwa Gabon japo kwenye kikosi hicho ni Hakimi na Amrabat tu aliekuwepo.

#NB: Pengine jana ndio siku pekee Waafrika wamewashangilia Waafrika wenzao wa Kaskazini (Waarabu) maana huku kwenye AFCON huwa tunajua kinachotokea!

[QUOTE="Mgunda Zone, post: 2047, member: 474"] Achana na Timu za Morocco kubeba mataji yote ya CAF Tournaments msimu uliopita (Wydad na Rs Berkane) Achana na Morocco kumpasua Ubelgiji kwenye group stage ya Kombe la Dunia. Achana na Kocha Walid Regragui alietoka kuchukua Kombe la CAF Champions League akiwa na Wydad Casablanca baada ya kumpasua Pitso Mosimane akiwa na Al Ahly mpaka kuwa Kocha pekee alieivusha timu kutoka Afrika kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia mwaka huu pale Qatar. Achana na story za mama yake na Achraf Hakimi kufanya kazi za ndani nchini Hispania alikomzaa Achraf. Njoo hapa.... Kati ya wachezaji 11 wa Timu ya Taifa ya Morocco walioanza kwenye Kikosi cha kwanza ni wachezaji 3 tu ndio WAMEZALIWA nchini Morocco. Youssef En-Nesry,Azzedine Ounahi na Nayef Aguerd ndio wachezaji pekee waliozaliwa nchini Morocco. Yassine Bounou - Canada🇨🇦 Achraf Hakimi - Hispania🇪🇦 Romain Saiss - Ufaransa🇲🇫 Noussair Mazraoui - Uholanzi🇳🇱 Sofyan Amrabat - Uholanzi🇳🇱 Selim Amallah - Ubelgiji🇧🇪 Hakim Ziyech - Uholanzi🇳🇱 Soufiane Boufal - Ufaransa.🇲🇫 Morocco wakiwa na kikosi hiki,mara ya mwisho kufungwa ndani ya dakika 90 ilikuwa mwaka October 15,2019 walipokufa 3-2 kutoka kwa Gabon japo kwenye kikosi hicho ni Hakimi na Amrabat tu aliekuwepo. #NB: Pengine jana ndio siku pekee Waafrika wamewashangilia Waafrika wenzao wa Kaskazini (Waarabu) maana huku kwenye AFCON huwa tunajua kinachotokea! [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
Achana na ukaribu wa Morocco na Hispania ambao ni kilometa 16 tu
Top
Bottom