Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

IVORY COAST, MALI NA GAMBIA ZASHINDA 1-0 AFCON.

[ATTACH=full]271[/ATTACH]

TIMU ya taifa ya Ivory Coast imeanza vyema Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Equatorial Guinea usiku wa Jumatano bao pekee la kiungo wa Sivasspor ya Uturuki, Max-Alain Gradel dakika ya tano katika mchezo wa Kundi E Uwanja wa Douala Jijini Douala, Cameroon.

Nayo Gambia imeichapa Mauritania 1-0, bao pekee la kiungo wa RFC Seraing ya Ubelgiji, Abdoulie Jallow mchezo wa Kundi F Uwanja wa Limbe Jijini Limbe.

Mechi nyingine ya Jumatano, bao pekee la mshambuliaji wa Sarpsborg 08 ya Norway, Ibrahima Koné kwa penalti dakika ya 48 limeipa Mali ushindi wa 1-0 dhidi ya Tunisia katika mchezo wa Kundi F hapo hapo Limbe.

[QUOTE="vuligate, post: 365, member: 123"] [HEADING=2]IVORY COAST, MALI NA GAMBIA ZASHINDA 1-0 AFCON.[/HEADING] [ATTACH type="full"]271[/ATTACH] TIMU ya taifa ya Ivory Coast imeanza vyema Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Equatorial Guinea usiku wa Jumatano bao pekee la kiungo wa Sivasspor ya Uturuki, Max-Alain Gradel dakika ya tano katika mchezo wa Kundi E Uwanja wa Douala Jijini Douala, Cameroon. Nayo Gambia imeichapa Mauritania 1-0, bao pekee la kiungo wa RFC Seraing ya Ubelgiji, Abdoulie Jallow mchezo wa Kundi F Uwanja wa Limbe Jijini Limbe. Mechi nyingine ya Jumatano, bao pekee la mshambuliaji wa Sarpsborg 08 ya Norway, Ibrahima Koné kwa penalti dakika ya 48 limeipa Mali ushindi wa 1-0 dhidi ya Tunisia katika mchezo wa Kundi F hapo hapo Limbe. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
Top
Bottom