Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

NIGERIA YASONGA MBELE, MISRI YAZINDUKA AFCON.

[ATTACH=full]321[/ATTACH] [ATTACH=full]323[/ATTACH]

TIMUya taifa ya Nigeria imefuzu hatua ya mtoano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Sudan katika mchezo wa Kundi D usiku wa jana Uwanja wa Roumdé Adjia Jijini Garoua, Cameroon.

Mabao ya Super Eagles yamefungwa na Samuel Chukwueze dakika ya tatu, Taiwo Awoniyi dakika ya 45 na Moses Simon dakika ya 46, wakati bao pekee la Sudan limefungwa na Walieldin Khedr kwa penalti dakika ya 70.

Mechi nyingine ya kundi hilo, bao pekee la Mohamed Salah dakika ya 69 liliipa Misri ushindi wa 1-0 dhidi ya Guinea-Bissau hapo hapo Roumdé Adjia na kuweka hai matumaini ya kusonga mbele kuelekea mechi ya mwisho dhidi ya Sudan.

Sasa Nigeria ina pointi sita, ikifuatiwa na Misri pointi tatu, wakati Guinea-Bissau na Sudan kila moja ina pointi moja kuelekea mechi zao za mwisho.

[QUOTE="vuligate, post: 407, member: 123"] [HEADING=2]NIGERIA YASONGA MBELE, MISRI YAZINDUKA AFCON.[/HEADING] [ATTACH type="full" alt="1642397846251.png"]321[/ATTACH] [ATTACH type="full"]323[/ATTACH] TIMUya taifa ya Nigeria imefuzu hatua ya mtoano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Sudan katika mchezo wa Kundi D usiku wa jana Uwanja wa Roumdé Adjia Jijini Garoua, Cameroon. Mabao ya Super Eagles yamefungwa na Samuel Chukwueze dakika ya tatu, Taiwo Awoniyi dakika ya 45 na Moses Simon dakika ya 46, wakati bao pekee la Sudan limefungwa na Walieldin Khedr kwa penalti dakika ya 70. Mechi nyingine ya kundi hilo, bao pekee la Mohamed Salah dakika ya 69 liliipa Misri ushindi wa 1-0 dhidi ya Guinea-Bissau hapo hapo Roumdé Adjia na kuweka hai matumaini ya kusonga mbele kuelekea mechi ya mwisho dhidi ya Sudan. Sasa Nigeria ina pointi sita, ikifuatiwa na Misri pointi tatu, wakati Guinea-Bissau na Sudan kila moja ina pointi moja kuelekea mechi zao za mwisho. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
Top
Bottom