Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

ALGERIA WAWEKA KOMBE REHANI AFCON, IVORY COAST...

[ATTACH=full]322[/ATTACH] [ATTACH=full]326[/ATTACH]

MABINGWA watetezi, Algeria wamejiweka njia panda baada ya kuchapwa 1-0 na Equatorial Guinea bao la Esteban Obiang dakika ya 70 katika mchezo wa Kundi E usiku wa Jumapili Uwanja wa Douala nchini Cameroon.

Mechi nyingine ya kundi hilo, Ivory Coast ililazimishwa sare ya 2-2 na Sierra Leone hapo hapo Douala.

Mabao ya Ivory Coast yalifungwa na Sébastien Haller dakika ya 25 na Nicolas Pépé dakika ya 69, wakati ya Sierra Leone yalifungwa na Musa Noah Kamara dakika ya 55 na Alhaji Kamara dakika ya 90.

Sasa Ivory Coast inaongoza kundi hilo kwa pointi zake nne, ikifuatiwa na Equatorial Guinea pointi tatu, Sierra Leone pointi mbili, wakati Algeria yenye pointi moja inashika mkia.

Mechi nyingine za Jumapili AFCON, Gambia ilitoa sare ya 1-1 na Mali, wakati Tunisia iliitandika Mauritania 4-0 zote za Kundi F Uwanja wa Limbe.

Mali ilitangulia kwa bao la Ibrahima Koné dakika ya kabla ya Musa Barrow kuisawazishia Gambia dakika ya 90, wote wakifunga kwa penalti wakati mabao ya Tunisia yalifungwa na Hamza Mathlouthi dakika ya nne, Wahbi Khazri dakika ya nane na 64 na Seifeddine Jaziri dakika ya 66.

Sasa Gambia una Mali zinafikisha pointi nne, zikifuatiwa na Tunisia pointi tatu na Mauritania ambayo haina pointi na imeshatolewa.

[QUOTE="vuligate, post: 408, member: 123"] [HEADING=2]ALGERIA WAWEKA KOMBE REHANI AFCON, IVORY COAST...[/HEADING] [ATTACH type="full" alt="1642398136358.png"]322[/ATTACH] [ATTACH type="full"]326[/ATTACH] MABINGWA watetezi, Algeria wamejiweka njia panda baada ya kuchapwa 1-0 na Equatorial Guinea bao la Esteban Obiang dakika ya 70 katika mchezo wa Kundi E usiku wa Jumapili Uwanja wa Douala nchini Cameroon. Mechi nyingine ya kundi hilo, Ivory Coast ililazimishwa sare ya 2-2 na Sierra Leone hapo hapo Douala. Mabao ya Ivory Coast yalifungwa na Sébastien Haller dakika ya 25 na Nicolas Pépé dakika ya 69, wakati ya Sierra Leone yalifungwa na Musa Noah Kamara dakika ya 55 na Alhaji Kamara dakika ya 90. Sasa Ivory Coast inaongoza kundi hilo kwa pointi zake nne, ikifuatiwa na Equatorial Guinea pointi tatu, Sierra Leone pointi mbili, wakati Algeria yenye pointi moja inashika mkia. Mechi nyingine za Jumapili AFCON, Gambia ilitoa sare ya 1-1 na Mali, wakati Tunisia iliitandika Mauritania 4-0 zote za Kundi F Uwanja wa Limbe. Mali ilitangulia kwa bao la Ibrahima Koné dakika ya kabla ya Musa Barrow kuisawazishia Gambia dakika ya 90, wote wakifunga kwa penalti wakati mabao ya Tunisia yalifungwa na Hamza Mathlouthi dakika ya nne, Wahbi Khazri dakika ya nane na 64 na Seifeddine Jaziri dakika ya 66. Sasa Gambia una Mali zinafikisha pointi nne, zikifuatiwa na Tunisia pointi tatu na Mauritania ambayo haina pointi na imeshatolewa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
Top
Bottom