Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

CAMEROON YAMALIZA MAKUNDI BILA KUPOTEZA MECHI

WENYEJI, Cameroon wamekamilisha mechi zao za Kundi A bila kupoteza hata moja baada ya kutoa sare ya 1-1 na Cape Verde usiku wa Jumatatu Uwanja wa Paul Biya Jijini Yaoundé.

Vincent Aboubakar alianza kuwafungia Cameroon dakika ya 39, kabla ya Garry Rodrigues kuisawazishia Cape Verde dakika ya 53.

Mechi nyingine ya Kundi hilo, Burkina Faso pia ilitoa sare ya 1-1 na Ethiopia Uwanja wa Bafoussam .

Cameroon inamaliza na pointi saba, ikifuatiwa na Burkina Faso pointi nne ambayo pia inafuzu Hatua ya mtoano kwa kuizidi wastani wa mabao Cape Verde, wakati Ethiopia imeshika mkia na pointi yake moja.

[QUOTE="vuligate, post: 423, member: 123"] [HEADING=2]CAMEROON YAMALIZA MAKUNDI BILA KUPOTEZA MECHI[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjfgD78yBrDO9xlJEONJ9Y81xmsJeJ-FYa4eMS2ExACBxl8zgoLh3zSMYcgoe-5HQR_iUsVJ0GtXdu32osKnSls1eG7FWrxCLLWppdY7_ykVakCGDyFZSuaft-X2H2dnqVUSpgrLcHQ5CUNA2Zuu_jfYU7MuALEGXdePE6K_UmlFlGXYWustd6I38Ca=s634'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjfgD78yBrDO9xlJEONJ9Y81xmsJeJ-FYa4eMS2ExACBxl8zgoLh3zSMYcgoe-5HQR_iUsVJ0GtXdu32osKnSls1eG7FWrxCLLWppdY7_ykVakCGDyFZSuaft-X2H2dnqVUSpgrLcHQ5CUNA2Zuu_jfYU7MuALEGXdePE6K_UmlFlGXYWustd6I38Ca=w640-h427[/IMG][/URL] WENYEJI, Cameroon wamekamilisha mechi zao za Kundi A bila kupoteza hata moja baada ya kutoa sare ya 1-1 na Cape Verde usiku wa Jumatatu Uwanja wa Paul Biya Jijini Yaoundé. Vincent Aboubakar alianza kuwafungia Cameroon dakika ya 39, kabla ya Garry Rodrigues kuisawazishia Cape Verde dakika ya 53. Mechi nyingine ya Kundi hilo, Burkina Faso pia ilitoa sare ya 1-1 na Ethiopia Uwanja wa Bafoussam . Cameroon inamaliza na pointi saba, ikifuatiwa na Burkina Faso pointi nne ambayo pia inafuzu Hatua ya mtoano kwa kuizidi wastani wa mabao Cape Verde, wakati Ethiopia imeshika mkia na pointi yake moja. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
Top
Bottom