Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

REFA MTANZANIA KAZINI AFCON GABON NA MOROCCO

MWAMUZI Mtanzania, Frank Kombe leo atapeperusha kibendera chake kwenye mchezo wa Kundi C Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baina ya Gabon na Morocco kuanzia Saa 4:00 usiku Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaoundé, Cameroon.

Katika mchezo huo, Gabon watawakosa nyota wao wawili, Pierre-Emerick Aubameyang na Mario Lemina ambao wamerejeshwa kwenye klabu zao baada ya kupatwa na matatizo ya moyo ‘heart lesions’, au vidonda vya moyo wakiwa kwenye AFCON.

Taarifa ya Shirikisho la Soka Gabon imesema kwamba, Aubameyang, mshambuliaji wa Arsenal ya England na Lemina, kiungo wa Nice ya Ufaransa, watakwenda kufanyiwa uchunguzi zaidi na klabu zao.

[QUOTE="Amir, post: 433, member: 20"] [HEADING=2]REFA MTANZANIA KAZINI AFCON GABON NA MOROCCO[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhWDZp0Awsegqv-PId9rw92hZN-HMzopG8XtgBAkH9OMMlu_4WotBjO8ntrZK-IVR8nDEnjC2vqSzB9nlHsBYOp3BHJCeght-RVsxb-3zwFePZgBMJxqfuMD1qLOxqxtTIEoSK9mx_nAh9hqjs0hqm8pHUL3sDPTQrl36sMsoIrQQZPg9qtzUbuPVv5=w640-h544[/IMG] MWAMUZI Mtanzania, Frank Kombe leo atapeperusha kibendera chake kwenye mchezo wa Kundi C Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baina ya Gabon na Morocco kuanzia Saa 4:00 usiku Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaoundé, Cameroon. Katika mchezo huo, Gabon watawakosa nyota wao wawili, Pierre-Emerick Aubameyang na Mario Lemina ambao wamerejeshwa kwenye klabu zao baada ya kupatwa na matatizo ya moyo ‘heart lesions’, au vidonda vya moyo wakiwa kwenye AFCON. Taarifa ya Shirikisho la Soka Gabon imesema kwamba, Aubameyang, mshambuliaji wa Arsenal ya England na Lemina, kiungo wa Nice ya Ufaransa, watakwenda kufanyiwa uchunguzi zaidi na klabu zao. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
Top
Bottom