Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

COMORO YAICHAPA GHANA 3-2 NA KUITUPA NJE AFCON.

TIMU ya taifa ya Comoro imeitupa Ghana nje ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kuichapa mabao 3-2 katika mchezo wa mwisho wa Kundi C usiku wa Jumanne Uwanja wa Roumdé Adjia Jijini Garoua, Cameroon.

Mabao ya Comoro yalifungwa na El Fardou Mohamed Ben Nabouhane dakika ya nne na Ahmed Mogni mawili, dakika ya 61 na 85, wakati ya Ghana iliyomaliza pungufu baada ya Nahodha wake, Andre Ayew kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 25, yalifungwa na Richmond Boakye dakika ya 64 na Alexander Djiku dakika ya 77.

Mechi nyingine ya Kundi C, Gabon imetoa sare ya 2-2 na Morocco Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaoundé.

Mabao ya Gabon yamefungwa na Jim Émilien Ngowet Allevinah dakika ya 21 na Nayef Aguerd aliyejifunga dakika ya 81, wakati ya Morocco yalifungwa na Sofiane Boufal dakika ya 74 kwa penalti na Achraf Hakimi dakika ya 84.

Morocco inamaliza kileleni kwa pointi zake saba, ikifuatiwa na Gabon pointi tano na zote zinasonga mbele, wakati Comoro iliyomaliza na pointi tatu nafasi ya tatu na Ghana pointi moja mkiani zote zinarejea nyumbani.

[QUOTE="vuligate, post: 438, member: 123"] [HEADING=2]COMORO YAICHAPA GHANA 3-2 NA KUITUPA NJE AFCON.[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhYUWupNPlOxE0-rw5HFWkhgmpkFNAm7976OZi2j8JOM5sJ1Geo4QTQ9YWG2Tx74DTh5BTL3QKwy7mGnI-EWxljNFgFWPITlEJQCZyPqKhNan4_tpMqCeULfaU1mDYY-DJIiLDZS20bAVe8-sp7x8_wio2rrn0-mp4WVbUInCbGuI4ZeIYPoFdi2kHs=s634'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhYUWupNPlOxE0-rw5HFWkhgmpkFNAm7976OZi2j8JOM5sJ1Geo4QTQ9YWG2Tx74DTh5BTL3QKwy7mGnI-EWxljNFgFWPITlEJQCZyPqKhNan4_tpMqCeULfaU1mDYY-DJIiLDZS20bAVe8-sp7x8_wio2rrn0-mp4WVbUInCbGuI4ZeIYPoFdi2kHs=s16000[/IMG][/URL] TIMU ya taifa ya Comoro imeitupa Ghana nje ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kuichapa mabao 3-2 katika mchezo wa mwisho wa Kundi C usiku wa Jumanne Uwanja wa Roumdé Adjia Jijini Garoua, Cameroon. Mabao ya Comoro yalifungwa na El Fardou Mohamed Ben Nabouhane dakika ya nne na Ahmed Mogni mawili, dakika ya 61 na 85, wakati ya Ghana iliyomaliza pungufu baada ya Nahodha wake, Andre Ayew kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 25, yalifungwa na Richmond Boakye dakika ya 64 na Alexander Djiku dakika ya 77. Mechi nyingine ya Kundi C, Gabon imetoa sare ya 2-2 na Morocco Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaoundé. Mabao ya Gabon yamefungwa na Jim Émilien Ngowet Allevinah dakika ya 21 na Nayef Aguerd aliyejifunga dakika ya 81, wakati ya Morocco yalifungwa na Sofiane Boufal dakika ya 74 kwa penalti na Achraf Hakimi dakika ya 84. Morocco inamaliza kileleni kwa pointi zake saba, ikifuatiwa na Gabon pointi tano na zote zinasonga mbele, wakati Comoro iliyomaliza na pointi tatu nafasi ya tatu na Ghana pointi moja mkiani zote zinarejea nyumbani. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
Top
Bottom