Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MISRI YAICHAPA SUDAN 1-0 NA KUSONGA MBELE AFCON

TIMU ya taifa ya Misri imefanikiwa kufuzu Hatua ya mtoano Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Sudan, bao pekee la beki wa kati, Mohamed Abdelmoneim dakika ya 38 katika mchezo wa mwisho wa Kundi D usiku wa Jumatano Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaoundé, Cameroon.

Mechi nyingine ya Kundi D, Nigeria imeendeleza ubabe kwa kuichapa Guinea-Bissau 2-0, mabao ya Umar Sadiq Mesbah dakika ya 56 na William Paul Troost-Ekong dakika ya 75.

Nigeria inamaliza kileleni na pointi zake tisa, ikifuatiwa na Misri pointi sita na zote zinasonga mbele, wakati Sudan na Guinea-Bissau zilizomaliza na pointi moja kila moja zinarejea nyumbani.

[QUOTE="vuligate, post: 452, member: 123"] [HEADING=2]MISRI YAICHAPA SUDAN 1-0 NA KUSONGA MBELE AFCON[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgDEPPLw7fw7RUQwMH-h54zOEg1saSqtoJ2AuRvUQh5dUeh4Hy5QRtMMJOYyMXrlQFLpYqs3m-nWE3JA8vQ21ubQWB-1TPBznjz0Q6eC85Vvun8i1AhYtHxOmqvs31oielIx6fHAAJ9_plWrfA1mxD-JWYcV0vOJvJgxnjGPKf915TIFoPKtWQ2UkEi=s634'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgDEPPLw7fw7RUQwMH-h54zOEg1saSqtoJ2AuRvUQh5dUeh4Hy5QRtMMJOYyMXrlQFLpYqs3m-nWE3JA8vQ21ubQWB-1TPBznjz0Q6eC85Vvun8i1AhYtHxOmqvs31oielIx6fHAAJ9_plWrfA1mxD-JWYcV0vOJvJgxnjGPKf915TIFoPKtWQ2UkEi=w640-h444[/IMG][/URL] TIMU ya taifa ya Misri imefanikiwa kufuzu Hatua ya mtoano Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Sudan, bao pekee la beki wa kati, Mohamed Abdelmoneim dakika ya 38 katika mchezo wa mwisho wa Kundi D usiku wa Jumatano Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaoundé, Cameroon. Mechi nyingine ya Kundi D, Nigeria imeendeleza ubabe kwa kuichapa Guinea-Bissau 2-0, mabao ya Umar Sadiq Mesbah dakika ya 56 na William Paul Troost-Ekong dakika ya 75. Nigeria inamaliza kileleni na pointi zake tisa, ikifuatiwa na Misri pointi sita na zote zinasonga mbele, wakati Sudan na Guinea-Bissau zilizomaliza na pointi moja kila moja zinarejea nyumbani. [URL='https://twitter.com/CAF_Online/status/1483946799736016901/photo/1'] [IMG alt="Image"]https://pbs.twimg.com/media/FJgJusRXsAAtyNL?format=jpg&name=small[/IMG][/URL] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
Top
Bottom