Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

ALGERIA YAVULIWA UBINGWA AFCON, TUNISIA YAPENYA MLANGO WA DHARULA.

RASMI, Algeria jana wamevuliwa ubingwa baada ya kuchapwa 3-1 na Ivory Coast katika mchezo wa mwisho wa Kundi E Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika usiku wa Alhamisi Uwanja wa Douala nchini Cameroon.

Mabao ya Tembo wa Ivory Coast yamefungwa na Franck Kessie dakika ya 22, Ibrahim Sangare dakika ya 39 na Nicolas Pepe dakika ya 54, wakati la Algeria waliotwaa taji hilo mwaka 2019 nchini Misri limefungwa na Sofiane Bendebka dakika ya 73, kufuatia Riyad Mahrez kukosa penalti dakika ya 60.

Mechi nyingine ya Kundi E, bao pekee la Pablo Ganet dakika ya 38 limeipa Equatorial Guinea ushindi wa 1-0 dhidi ya Sierra Leone Uwanja wa Limbe.

Ivory Coast inamaliza na pointi saba kileleni, ikifuatiwa na Equatorial Guinea pointi sita na zote Sina kwenda 16 Bora, wakati Sierra Leone iliyomaliza na pointi mbili na Algeria pointi moja safari inaishia hapa.

Na mechi za Kundi F, vigogo wengine barani, Tunisia wametupwa nje baada ya kuchapwa 1-0 na Gambia bao pekee la Abdoulie Jallow dakika ya 90 Uwanja wa Limbe.

Nayo Mali ikaichapa Mauritania 2-0, mabao ya Massadio Haïdara dakika ya pili na Ibrahima Koné kwa penalti dakika y 49 Uwanja wa Douala.

Mali imemaliza na pointi saba, sawa na Gambia na zote zinakwenda 16 Bora, wakati Tunisia inafuzu kama mmoja wa washindi wa tatu bira kwa kumaliza na pointi tatu na Mauritania iliyomaliza mikono mitupu inaaga mashindano.

Hatua ya 16 Bora itaanza Jumapili kwa Burkina Faso kumenyana na Gabon, Nigeria na Tunisia, Jumatatu ni Guinea na Gambia na Cameroon dhidi ya Comoro.

Januari 25 ni Senegal na Cape Verde na Morocco dhidi ya Malawi, wakati Hatua hiyo ya 16 itakamilishwa Januari 26 kwa mechi mbili kali tupu; Ivory Coast na Misri na Mali dhidi ya Equatorial Guinea.

[QUOTE="vuligate, post: 470, member: 123"] [HEADING=2]ALGERIA YAVULIWA UBINGWA AFCON, TUNISIA YAPENYA MLANGO WA DHARULA.[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiR4rKp-1eAAQawftIVKNa5jY7eOcFN7IBu9zrfVi013K3NSc1uGYDSkOU66H60vcshhGY2eoMG1m1DZc7A-4x3a3MmZS0pL8IjYopGHIatTfE8iC1vZLDp9MOVebqg9TRDqq9d0x8CgPTYqRckuurpLwOFMzZ1qlfMmXR6t62hLR28hucJsIq6OHc2=s634'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiR4rKp-1eAAQawftIVKNa5jY7eOcFN7IBu9zrfVi013K3NSc1uGYDSkOU66H60vcshhGY2eoMG1m1DZc7A-4x3a3MmZS0pL8IjYopGHIatTfE8iC1vZLDp9MOVebqg9TRDqq9d0x8CgPTYqRckuurpLwOFMzZ1qlfMmXR6t62hLR28hucJsIq6OHc2=w640-h402[/IMG][/URL] RASMI, Algeria jana wamevuliwa ubingwa baada ya kuchapwa 3-1 na Ivory Coast katika mchezo wa mwisho wa Kundi E Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika usiku wa Alhamisi Uwanja wa Douala nchini Cameroon. Mabao ya Tembo wa Ivory Coast yamefungwa na Franck Kessie dakika ya 22, Ibrahim Sangare dakika ya 39 na Nicolas Pepe dakika ya 54, wakati la Algeria waliotwaa taji hilo mwaka 2019 nchini Misri limefungwa na Sofiane Bendebka dakika ya 73, kufuatia Riyad Mahrez kukosa penalti dakika ya 60. Mechi nyingine ya Kundi E, bao pekee la Pablo Ganet dakika ya 38 limeipa Equatorial Guinea ushindi wa 1-0 dhidi ya Sierra Leone Uwanja wa Limbe. Ivory Coast inamaliza na pointi saba kileleni, ikifuatiwa na Equatorial Guinea pointi sita na zote Sina kwenda 16 Bora, wakati Sierra Leone iliyomaliza na pointi mbili na Algeria pointi moja safari inaishia hapa. Na mechi za Kundi F, vigogo wengine barani, Tunisia wametupwa nje baada ya kuchapwa 1-0 na Gambia bao pekee la Abdoulie Jallow dakika ya 90 Uwanja wa Limbe. Nayo Mali ikaichapa Mauritania 2-0, mabao ya Massadio Haïdara dakika ya pili na Ibrahima Koné kwa penalti dakika y 49 Uwanja wa Douala. Mali imemaliza na pointi saba, sawa na Gambia na zote zinakwenda 16 Bora, wakati Tunisia inafuzu kama mmoja wa washindi wa tatu bira kwa kumaliza na pointi tatu na Mauritania iliyomaliza mikono mitupu inaaga mashindano. Hatua ya 16 Bora itaanza Jumapili kwa Burkina Faso kumenyana na Gabon, Nigeria na Tunisia, Jumatatu ni Guinea na Gambia na Cameroon dhidi ya Comoro. Januari 25 ni Senegal na Cape Verde na Morocco dhidi ya Malawi, wakati Hatua hiyo ya 16 itakamilishwa Januari 26 kwa mechi mbili kali tupu; Ivory Coast na Misri na Mali dhidi ya Equatorial Guinea. [URL='https://twitter.com/CAF_Online/status/1484281751082086405/photo/1'] [IMG alt="Image"]https://pbs.twimg.com/media/FJk5mk1X0AAyuPA?format=jpg&name=small[/IMG][/URL] [IMG alt="Image"]https://pbs.twimg.com/media/FJk5RXIXEAAeJQc?format=jpg&name=small[/IMG] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
Top
Bottom