Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Aboubakar Aingia Levo za Samuel Eto’o.

NYOTA wa timu ya taifa ya Cameroon, Vincent Aboubakar kwenye mashindano ya Afcon 2021 nchini Cameroon yeye anakiwasha tu kwa kucheka na nyavu.

Mpaka sasa yeye ni namba moja kwa utupiaji ambapo amefunga jumla ya mabao matano kibindoni. Timu ya Cameroon ambao ni wenyeji wa mashindano hayo wamekuwa kwenye mwendo mzuri ambapo tayari wametinga hatua ya 16 bora.

Kwa mwendo ambao anakwenda nao anaingia anga za mshambuliaji mahiri wa zamani wa timu hiyo Samuel Eto’o ambaye aliwahi kufanya maajabu kwenye fainali za Afcon.

Nyota huyo wa Cameroon, amwfunga mabao matano katika mechi tatu za makundi kwenye Afcon 2021 na hakuna mchezaji mwingine wa Cameroon amefunga mara nyingi zaidi katika msimu mmoja wa fainali za Afcon sawa na Samuel Eto’o ambaye naye alifunga mabao matano kwenye mechi tatu.

Eto’o alifanya hivyo mwaka 2006 kwenye mechi tatu na akarudia tena mabao matano 2008.

[QUOTE="Amir, post: 480, member: 20"] [HEADING=1]Aboubakar Aingia Levo za Samuel Eto’o.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/Vincent-640x360-1.jpg[/IMG] NYOTA wa timu ya taifa ya Cameroon, Vincent Aboubakar kwenye mashindano ya Afcon 2021 nchini Cameroon yeye anakiwasha tu kwa kucheka na nyavu. Mpaka sasa yeye ni namba moja kwa utupiaji ambapo amefunga jumla ya mabao matano kibindoni. Timu ya Cameroon ambao ni wenyeji wa mashindano hayo wamekuwa kwenye mwendo mzuri ambapo tayari wametinga hatua ya 16 bora. Kwa mwendo ambao anakwenda nao anaingia anga za mshambuliaji mahiri wa zamani wa timu hiyo Samuel Eto’o ambaye aliwahi kufanya maajabu kwenye fainali za Afcon. Nyota huyo wa Cameroon, amwfunga mabao matano katika mechi tatu za makundi kwenye Afcon 2021 na hakuna mchezaji mwingine wa Cameroon amefunga mara nyingi zaidi katika msimu mmoja wa fainali za Afcon sawa na Samuel Eto’o ambaye naye alifunga mabao matano kwenye mechi tatu. Eto’o alifanya hivyo mwaka 2006 kwenye mechi tatu na akarudia tena mabao matano 2008. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
Top
Bottom