Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Milovan Atimuliwa Ghana.

BAADA ya kupata matokeo mabaya ya Ghana katika michuano ya AFCON inayoendelea, Wizara ya Michezo ya nchi hiyo katika mkutano wa dharura siku ya Ijumaa iliagiza Chama cha Soka cha Ghana kumfukuza kazi kocha wake Mserbia, Milovan Rajevac.

Licha ya kusitasita kwa FA kumtimua Rajevac, wizara hiyo inaonekana kushinda mzozo kuhusu mustakabali wa Mserbia huyo.

Katika kipindi chake cha kwanza akiwa na Black Stars Rajevac aliiongoza Ghana kutinga fainali za AFCON 2010 na Robo fainali ya Kombe la Dunia la 2010.

Kipindi chake cha pili hakikwenda kama ilivyotarajiwa kwani Ghana walitoka AFCON 2021 bila ushindi, wa kwanza wa aina yake katika historia ya Black Stars.

[QUOTE="vuligate, post: 508, member: 123"] [HEADING=1]Milovan Atimuliwa Ghana.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/Milovan-Rajevac.jpg[/IMG] BAADA ya kupata matokeo mabaya ya Ghana katika michuano ya AFCON inayoendelea, Wizara ya Michezo ya nchi hiyo katika mkutano wa dharura siku ya Ijumaa iliagiza Chama cha Soka cha Ghana kumfukuza kazi kocha wake Mserbia, Milovan Rajevac. Licha ya kusitasita kwa FA kumtimua Rajevac, wizara hiyo inaonekana kushinda mzozo kuhusu mustakabali wa Mserbia huyo. Katika kipindi chake cha kwanza akiwa na Black Stars Rajevac aliiongoza Ghana kutinga fainali za AFCON 2010 na Robo fainali ya Kombe la Dunia la 2010. Kipindi chake cha pili hakikwenda kama ilivyotarajiwa kwani Ghana walitoka AFCON 2021 bila ushindi, wa kwanza wa aina yake katika historia ya Black Stars. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
Top
Bottom