Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MOROCCO NA SENEGAL ZATINGA ROBO FAINALI AFCON.

MOROCCO imetoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Malawi katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika usiku huu Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaoundé nchini Cameroon.

Malawi ilitangulia kwa bao la mshambuliaji wa Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Hellings Frank ‘Gabadinho’ Mhango dakika ya saba, kabla ya mshambuliaji wa Sevilla ya Hispania, Youssef En-Nesyri kuisawazishia Morocco dakika ya 45 na ushei na beki wa Paris-Saint Germain, Achraf Hakimi Mouh kufunga la ushindi dakika ya 70 kuwapeleka Robo Fainali Simba wa Atlasi.

Katika mchezo uliotangulia, Senegal ilikwenda Robo Fainali pia baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Cape Verde, mabao ya washambuliaji, Sadio Mané wa Liverpool dakika ya 63 na Cheikh Ahmadou Bamba Mbacke Dieng wa Marseille dakika ya 90 na ushei Uwanja wa Bafoussam.

Cape Verde ilicheza pungufu kwa muda mrefu, kufuatia wachezaji wake wawili kutolewa kwa kadi nyekundu,kiungo Patrick Andrade dakika ya 21 na kipa Josimar José Évora Dias ‘Vózinha’ dakika ya 57.

Morocco itakutana na mshindi kati ya Ivory Coast na Misri na Senegal itakutana na mshindi kati ya Mali na Equatorial Guinea zinazokamilisha Hatua ya 16 Bora.

[QUOTE="vuligate, post: 563, member: 123"] [HEADING=2]MOROCCO NA SENEGAL ZATINGA ROBO FAINALI AFCON.[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEimR04Q8LkOznXpJKzfklzpYCOcA8ZnbY-7NFRHxUTJ39b4_i1d5qg6GJ_OFSHqP70j0etz6ZQYyZTJsNg2L3w1vicPhhUPTx6mEh0_F71w0ouWSkdTBbHr3gejzZ0pK5v_m2Yst1eRb-wx_zt9GFymbLxrh96pKHZ0Q0s7eNxDmSs6CDKyLJsNsi3C=s620'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEimR04Q8LkOznXpJKzfklzpYCOcA8ZnbY-7NFRHxUTJ39b4_i1d5qg6GJ_OFSHqP70j0etz6ZQYyZTJsNg2L3w1vicPhhUPTx6mEh0_F71w0ouWSkdTBbHr3gejzZ0pK5v_m2Yst1eRb-wx_zt9GFymbLxrh96pKHZ0Q0s7eNxDmSs6CDKyLJsNsi3C=w640-h384[/IMG][/URL] MOROCCO imetoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Malawi katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika usiku huu Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaoundé nchini Cameroon. Malawi ilitangulia kwa bao la mshambuliaji wa Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Hellings Frank ‘Gabadinho’ Mhango dakika ya saba, kabla ya mshambuliaji wa Sevilla ya Hispania, Youssef En-Nesyri kuisawazishia Morocco dakika ya 45 na ushei na beki wa Paris-Saint Germain, Achraf Hakimi Mouh kufunga la ushindi dakika ya 70 kuwapeleka Robo Fainali Simba wa Atlasi. [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhofjakqcC5bxYRr-5P4-X5Bx6aCfLm96kooohTtqvhaCvZTeOh51mo5PWT_iHTGcrc4kMwIco-6hJvUH74PlfO_vyOreyH5IMSJ6XvEYJAi6QLGTB40rYBFmjT-kbROTgbQf4HvDVZ6ih5lQdRHmgTqoY9jNtmYxSAnDRdO4FCnR3KZDu3x__95wIv=s634'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhofjakqcC5bxYRr-5P4-X5Bx6aCfLm96kooohTtqvhaCvZTeOh51mo5PWT_iHTGcrc4kMwIco-6hJvUH74PlfO_vyOreyH5IMSJ6XvEYJAi6QLGTB40rYBFmjT-kbROTgbQf4HvDVZ6ih5lQdRHmgTqoY9jNtmYxSAnDRdO4FCnR3KZDu3x__95wIv=w640-h412[/IMG][/URL] Katika mchezo uliotangulia, Senegal ilikwenda Robo Fainali pia baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Cape Verde, mabao ya washambuliaji, Sadio Mané wa Liverpool dakika ya 63 na Cheikh Ahmadou Bamba Mbacke Dieng wa Marseille dakika ya 90 na ushei Uwanja wa Bafoussam. Cape Verde ilicheza pungufu kwa muda mrefu, kufuatia wachezaji wake wawili kutolewa kwa kadi nyekundu,kiungo Patrick Andrade dakika ya 21 na kipa Josimar José Évora Dias ‘Vózinha’ dakika ya 57. Morocco itakutana na mshindi kati ya Ivory Coast na Misri na Senegal itakutana na mshindi kati ya Mali na Equatorial Guinea zinazokamilisha Hatua ya 16 Bora. [URL='https://twitter.com/CAF_Online/status/1486094276501151754/photo/1'] [IMG alt="Image"]https://pbs.twimg.com/media/FJ-q3FlWQAM3C3Q?format=jpg&name=small[/IMG][/URL] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
Top
Bottom