Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SITA WAFARIKI WAKIGOMBEA KUINGIA UWANJANI CAMEROON.

WATU wasiopungua sita wamefariki na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa katika vurugu zilizotokea nje ya Uwanja wa Olembe Jijini Yaounde wakigombea kuingia kutazama mechi baina ya wenyeji wa Fainali za AFCON, Cameroon dhidi ya Comoro jana – Serikali ya nchi hiyo imethibitisha na kusema kwamba idadi ya vifo inaweza kuongezeka.

Maafisa wa hospitali ya Messassi wamesema wamepokea kiasi cha watu 40 waliojeruhiwa, ambao walikimbizwa hospitalini hapo na Polisi na wasamaria wema – na chanzo cha vurugu hizo imeelezwa ni walinzi ‘Stewards’ kufunga mageti kuzuia watu zaidi kuingia uwanjani – na baada ya tafrani hiyo ilishuhudiwa viatu, kofia na mawigi vikizagaa chini.

Katika mechi hiyo ya Hatua ya 16 Bora, Cameroon ilishinda 2-1 na kwenda Robo Fainali.

Pamoja na hayo, Hatua ya 16 Bora ya AFCON inaendelea leo kwa mechi mbili, washindi wa pili wa 2019 Senegal wakimenyana na Cape Verde Saa 1:00 usiku na Morocco dhidi ya Malawi Saa 4:00 usiku.

Kocha wa Morocco, Vahid Halilhodzic amesema kambi yake imetikiswa mno na janga la COVID kuelekea mchezo wake na Malawi, japokuwa beki Achraf Hakimi alifanya mazoezi jana baada ya siku nzima ya Jumapili kupumzika tu hotelini.

Lakini bado haijulikani kama mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 atakuwa sehemu ya mchezo wa leo Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaounde.

[QUOTE="vuligate, post: 564, member: 123"] [HEADING=2]SITA WAFARIKI WAKIGOMBEA KUINGIA UWANJANI CAMEROON.[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjMnP9T4ooo5xVrFenOYsNXU8ItI6wsqBfF8bvcY_125s2kTB-vKHI0Kno_5DjOEOwKLjDXMAQJyMafkdF1iQK1y7bcUxi07hvo3FAlrWuAkY-oCHmQg-ftzwpq7ERFiHCgxkKYO2yNcW7csAG8nXAHSrzZMVUQ48u1C8XuuuXmMNNT2gwnPESmaa3a=s770'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjMnP9T4ooo5xVrFenOYsNXU8ItI6wsqBfF8bvcY_125s2kTB-vKHI0Kno_5DjOEOwKLjDXMAQJyMafkdF1iQK1y7bcUxi07hvo3FAlrWuAkY-oCHmQg-ftzwpq7ERFiHCgxkKYO2yNcW7csAG8nXAHSrzZMVUQ48u1C8XuuuXmMNNT2gwnPESmaa3a=w640-h426[/IMG][/URL] WATU wasiopungua sita wamefariki na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa katika vurugu zilizotokea nje ya Uwanja wa Olembe Jijini Yaounde wakigombea kuingia kutazama mechi baina ya wenyeji wa Fainali za AFCON, Cameroon dhidi ya Comoro jana – Serikali ya nchi hiyo imethibitisha na kusema kwamba idadi ya vifo inaweza kuongezeka. Maafisa wa hospitali ya Messassi wamesema wamepokea kiasi cha watu 40 waliojeruhiwa, ambao walikimbizwa hospitalini hapo na Polisi na wasamaria wema – na chanzo cha vurugu hizo imeelezwa ni walinzi ‘Stewards’ kufunga mageti kuzuia watu zaidi kuingia uwanjani – na baada ya tafrani hiyo ilishuhudiwa viatu, kofia na mawigi vikizagaa chini. Katika mechi hiyo ya Hatua ya 16 Bora, Cameroon ilishinda 2-1 na kwenda Robo Fainali. Pamoja na hayo, Hatua ya 16 Bora ya AFCON inaendelea leo kwa mechi mbili, washindi wa pili wa 2019 Senegal wakimenyana na Cape Verde Saa 1:00 usiku na Morocco dhidi ya Malawi Saa 4:00 usiku. Kocha wa Morocco, Vahid Halilhodzic amesema kambi yake imetikiswa mno na janga la COVID kuelekea mchezo wake na Malawi, japokuwa beki Achraf Hakimi alifanya mazoezi jana baada ya siku nzima ya Jumapili kupumzika tu hotelini. Lakini bado haijulikani kama mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 atakuwa sehemu ya mchezo wa leo Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaounde. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
Top
Bottom